Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, January 29, 2013

Behind the scenes: Baaadhi ya Pictures zikimuonesha Salama Jabiri akifanya Kipindi cha Mkasi -Kingwendu na Bi. Chau

 Kingwendu


Andaa mbavu zako tu sababu siku si nyingi zitauma kwa kicheko pale kwenye runinga yako utakapowashuhudia waigizaji wakongwe Kingwendu na Bi Chau katika show zao za Mkasi zinazojitegemea.Kupitia Instagram, waandaji wa kipindi hicho wameshare picha hizi za wakati wakishoot interview za wasanii hao wakongwe.
Josh na Salama
Josh na Salama
Crew ya Mkasi
Crew ya Mkasi
Crew
Crew
Salama na Kingwendu kwenye set
Salama na Kingwendu kwenye set
Bi Chau 3
Bi Chau
Bi Chau
Bi Chau
Kingwendu
Kingwendu
Kingwendu 3
Bi Chau akiwa na crew ya Mkasi
Bi Chau akiwa na crew ya Mkasi