Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, April 2, 2013

TAZAMA PICHA ZA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA BARABARA YA MBINGA..


Hii ni ajali tuliyokutananayo Barabara ya Mbinga(nyuma ya Tanesco) wakati tukielekea Mbiga kutoka Songea mjini baada ya kumaliza show ya Pasaka na Tunda Man pamoja na wasaniii wengine kama Mapembe na Mau,

Ilitokea baada ya Dereva wa gari hiyo kushindwa kukata kona kali na gari kutoka nje ya barabara, chakushukuru mungu hakuna alie kufa ila wameumia tu....,Angalia picha tofauti za ajali hiyo hapo chini......


Hapa Tunda Man akijalibu kutoa msaada pia
Angalia jinsi gari ilivyokuwa...
Mapembe akitoa msaada
Mapembe akionekana akitoa msaada pia
Huyo pembeni ni Mdada Majeruhi alie
kuwa katika gari hiyo ..
Mashuhuda
Mashuda pamoja na Densers wa Tunda